Advert

Breaking News

Nay Wa Mitego Atoa Bonge La Povu Kuhusu Kifo cha Bongo Fleva

Msanii maarufu wa Rap/HipHop na Bongo Fleva Nay Wa Mitego ametoa kauli kali kuhusu mfumo unaotumika na wasanii maarufu kutangaza kazi zao unaifahamika kama KIKI Nchini Tanzania nakusema ndio utakuwa chanzo cha kifo cha Bongo Fleva

kupitia IG Yake Nay wa Mitego aliandika “Baada Ya Miaka Miwili Mitatu Ijayo Tukiendelea na Huu Ujinga, Naiona Bongo Flava Ikiingia Shimoni Kama Wenzetu Wa BongoMovie😡.! Kick Kubwa Kuliko Muziki Wenyewe. Yani Muziki Unasindikiza Kick🖕🏽. Baada Ya Kick Kusindikiza Mziki Mkubwa.! #NguvuYaKitaa
Tukutane #TanganyikaPacker’s“
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.