Advert

Breaking News

Hemed PhD Ndiye Msanii Mwenye Watoto Wengi Tanzania

Akihojiwa katika kipindi cha E News cha EATV Msanii wa bongo movie na bongo fleva Hemed Suleiman amesema ana watoto zaidi ya sita lakini amekuwa akimpost mmoja kwenye mitandao ya kijamii.

VIDEO:
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.