Nas na Nicki Minaj Wamekuwa Pamoja kwa Siri Toka Mwezi wa Tano - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nas na Nicki Minaj Wamekuwa Pamoja kwa Siri Toka Mwezi wa Tano

Taarifa kutoka kwenye blog za udaku USA zinasema Nas na Nicki Minaj wamekuwa pamoja kwa siri toka mwezi wa tano mwaka huu, mahusiano yao ni ya siri sana , hukutana sehemu ambazo mastaa na mapaparazzi hawafiki.

Hizi picha zao pamoja weekend hii kwenye birthday ya Nas, walipiga picha wakiwa na The illmatic 1988 190E Benz.Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.