Advert

Breaking News

KENYA: Tume ya Uchaguzi (IEBC) Imemtangaza Uhuru Kenyatta Kuwa Mshindi wa Urais

KENYA: Tume ya Uchaguzi (IEBC) imemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kupata kura asilimia 54.2%. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.