Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Mchezaji wa Zamani wa Real Madrid Roberto Carlos Apata Mtoto wa Tisa

Roberto Carlos akiwa na mkewe, Mariana baada ya kujifungua mtoto wa pili kwenye mahusiano yao mwishoni mwa wiki waliyempa jina Marina. Huyo anakuwa mtoto wa tisa beki huyo wa zamani wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Real Madrid, kwani amezaa watoto saba na wanawake wengine kabla ya Mariana. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.