Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Ben Pol: Wanaozani ni Kiki Wasubirie Ndoa Yangu na Ebitoke

Mkali wa Miondoko ya RNB Bongo Ben Pol ambaye yupo kwenye penzi zito la Mwanadada Mchekeshaji Ebitoke amesema kuwa wanaodhani kuwa mapenzi ya wawili hao ni kiki wasubiri kuona ndoa imefungwa.

Hayo ameyasema Jana wakati wa show ya Miaka kumi na tano ya Msanii Mkongwe Tanzania Saida Kalori, Iliyofanyika pale Escape One Jijini Dar es Salaam.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.