Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Video: Mkuno Classic ft Ommy - Bado Nipo Nae

Baada ya kuiachia Audio ya ngoma yake kijana kutoa pande za Kigoma,- ujiji amekuletea kichupa chake kipya ambacho amemshirikisha Ommy.


Bongoswaggz inakukaribisha kuitazama chupa mpya na msanii mpya wa kwanza kutoka kigoma ambae anapata mafanikio kwenye kazi ya mziki.


Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.