Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

RayVanny Ashinda Tuzo ya BET ya Marekani Tazama hapa ilivyokuwa.


Kama ni furaha ambayo itakuwa inaendelea hapa bongo pande za usafini kwa wasafi kutoka pande za madale ni hii ya kijana mahiri kuleta heshima kwa kukwarua tuzo ya BET iliyokuwa inaendelea usiku wa leo.

Bongoswaggz haitaki kukunyima uhondo inakukaribisha kuitazama jinsi Rayvany alivyokuwa akipokea tuzo yake na jinsi alivyokuwa anasherehekea akiwa chumbani.Download App ya Bongoswaggz ili uwe wa kwanza kupata habari zote za Mastaa wa bongo na nje pia.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.