Advert

Breaking News

Nisha Aweka Wazi Mapenzi Yake na Mbwa.

Msanii wa kike msanii wa filamu, Salma Jabu (Nisha), ameudhihirishsha Ulimwengu kuwa mpenzi wake ni Mbwa.

Kwenye ukurasa wake wa Facebook akiwa amevaa gauni jeupe la harusi huku mkononi akiwa ameshika mkanda wa mbwa na kuandika kuwa, mnyama huyo ndiye mpenzi wake, jambo ambalo liliwachefua baadhi ya marafiki zake.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.