Advert

Breaking News

Fally Ipupa kuja na Albamu ya 'Tokoos' mwezi julai. Be ready

Licha ya kufanya vizuri kwenye 'Eloko oyo' sasa mashabiki wa Fally Ipupa mkae mkao wa kula julai 7 mwaka huu kwa kuipokea ile ahadi ya mkali huyo kutoka pande za ukongoni.

Bongoswaggz inakuthibitishia taarifa za kuwepo  albamu ya Fally Ipupa aliyoipa jina la 'Tokoos' baada ya kuposti ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter.
 "New albam #Tokoos julai 7#


Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.