Advert

Breaking News

Audio: Mattan - Niambieni

Leo Jumamosi ya June 17 unakuwa siku maalumu kwako kwa kuisikia sauti mpya kabisa kutoka kwa kijana anaekuja kwa kasi kwenye mziki wa bongo fleva, anaesimamiwa na Jubon Music.

Bongoswaggz inakukaribisha Kuipakuwa nyimbo mpya kabisa ya 'Mattan' aliyoipa jina la 'Niambieni' Ngoma iliyopokwa vyema kwenye studio za Jubon Records. Ngoma iliyopikwa vyema na producer 'J Willz. Enjoy
https://my.notjustok.com/track/download/id/231931
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.