Advert

Breaking News

Audio: Lizdady ft Yoyah - Follingi in Love

Hivi umewahi zama kwenye mapenzi mpaka ukajishangaa, sasa kijana mpya kabisa kwenye game ya muziki anaetokea ilikozaliwa Hiphop pande za Arachuga anakuja na ngoma hii ya Folling in love.

Bongoswaggz inakupa nafadi ya kuwa wa kwanza kuipakuwa ngoma hii ya msanii huyo anasimamiwa na Ahmed dirie na wakaipa jina la Folling in love. Enjoy

https://my.notjustok.com/track/224271/lizdady-ft-yoyah-folling-in-love

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.