Advert

Breaking News

Alichokisema Rayvany Baada ya Jason Derulo kumkubali na kuamua kufayanae Kolabo.

Kipindi hiki ni kipindi cha msimu wa cokestudio ambapo tayari tumezikusanya taarifa za ukaribu wa msanii kutoka usafini Rayvanny akiwa amepata shavu kutoka kwa mzee wa 'Wiggle wiggle' Jason Derulo.

Bongoswaggz haitaki kukunyima uhondo na inakukaribisha kumsikiliza Ravyany akikwambia jinsi alivyo jinsikia baada ya Jason Derulo kumkubali kyfanya nae kolabo. msikilize hapa.Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.