Advert

Breaking News

Shilole Kamchagua Anayemkubali Zaidi Kati ya Diamond na Ali Kiba

Bongo Fleva Diva Zuwena Muhamed Aka Shilole amesema yeye hamkubali msanii Alikiba na hana sababu ya kutomkubali na ila yeye anamkubali zaidi Diamond Platnumz.

Kupitia #KikaangoniEATV Jumatano hii Shilole anasema “Mimi namkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko Alikiba, nampenda Diamond kutoka na mambo yake na vile alivyo, kwa hiyo kila mtu ana watu anaowakubali na kuwapenda”
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.