PICHA: Lowassa afika Hospitali ya Muhimbili kumjulia hali Mbunge wa Tarime - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

PICHA: Lowassa afika Hospitali ya Muhimbili kumjulia hali Mbunge wa Tarime

Hali ya Mbunge wa Tarime Vijijini Mh. John Heche ilibadilika usiku wa kuiamkia Tarehe 4 Mwezi huu, na alikimbizwa hospitalini Dodoma.  Lakini Badae akahamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es salaam, Nasasa hali yake inaripotiwa kuwa vema
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.