Advert

Breaking News

Mgodi wa Buzwagi Kufungwa Rasmi

Taarifa ya Ndani ya Mgodi wa Buzwagi iliyokuwa ikitoa tahadhari ya kusimama kwa baadhi ya shughuli ndani ya Mgodi huo.

Katika Taarifa hiyo Mgodi huo unakila dalili ya kufungwa rasmi hadi kufika Mwaka 2020.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.