Advert

Breaking News

MASKINI HARMONIZE AFUNGUKA WAZI WAMEACHANA NA WOLPER

Leo Mwanamuziki Harmonize kwenye Kipindi cha Leo Tena Cha Clouds Fm amefunguka Rasmi Baada kipindi cha muda mrefu amekuwa akikataa kuvunjika kwa Penzi lake Na Mwanadada Jackline wolper Lakini Leo amefunguka Kuwa Wameachana na Aliyekuwa Mpenzi Wake Mwanadada Jackline Wolper 
Je Unamaoni Gani Mdau ???

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.