Advert

Breaking News

Audio: Snura ft Yamoto Band - Nionee wivu

Malkia wa uswazi ameungana na kundi la Yamoto Band na wamefanikiwa kutupa ngoma hii ya 'Nionee Wivu' ambayo imedropishwa siku ya jana mishale flani ya jioni.

Bongoswaggz inakuruhusu kuipakua ngoma huyo ya Snura aliyowashirikisha Yamoto Band. hakika tunaijua kazi ya Yamoto Band karibu kuisikiliza hapa.
https://my.notjustok.com/track/download/id/214016/by/Ovxec4eObu

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.