Advert

Breaking News

Audio: Msagasumu - MwanaumeMashine

Baada ya kufanya vizuri kwenye 'Unanitega Shemeji' msanii na mfalme wa muziki wa uswailini wa singeli 'Msagasumu' amekuja na hii aliyoipa jina la Mwanaume mashine ikiwa ni mtiririko wa kazi kaze.

Bongoswaggz inakukaribisha kuipakua ngoma hii na kuinjoy na ngoma kali ya Msahasumu.
https://my.notjustok.com/track/215927/msaga-sumu-mashine


Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.