Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Audio: Mkuno Classic ft Ommy - Bado Niponae.

Ijumaa ya leo Mey 5 kutoka kwa mkubwa na wanae anatusofezea kijana wake mpya anaefanya vizuri kwasasa. Leo anatudropishia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Ommy.

Bongoswaggz inakupa nafasi ya kuipakuwa ngoma mpya ya Mkuno classic aliyomshirikisha Ommy na kuipajina bado niponae. Gusa neno download ukaipakue ngoma hiyo.

                                          Download here
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.