Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Audio: Harmorapa ft Cpwaa & Ronei - Nundu

Ukizungumzia wasanii wachanga ambao wamejulikana kwa haraza zaidi basi ni Harmorapa, msanii ambae amekiki tangu siku ya kwanza kuingia katika tasnia ya muziki wahapa bongo.

Bongoswaggz inakukumbusha kuwa harmorapa aliwahi kumtaka Wema sepetu na akaahidi atampa kilakitu akimkubali. Karibu kuipakua ngomampya ya Harmorapa akiwa na Cpwa na Ronei kwenye Nundu,
https://my.notjustok.com/track/download/id/214881/by/5QnKqh2oly

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.