Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Audio: Barnaba Classic - Malaika

Kutoka High Table Music msanii anaeisimamia studio hiyo na aliyekuwa mwalimu wa muziki katika chuo cha sanaa cha THT ambae anatamba na 'Lover Boy' amerydi nasi katika nafsi ya kutoa pole kwa wafiwa.

Download ngoma mpya ya Barnaba boy aliyoipa jina la Malaika ikiwa ni nyimbo maamulu kwa wafiwa wote waliokubwa na janga hilo.


Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.