Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Arsenal wapigwa 2 na Tottenham

Tottenham Hotspurs

Klabu ya soka ya Tottenham Hotspurs imefanikiwa kuwabwaga kwa bao 2-0 Arsenal kwenye Mechi ya Ligi Kuu England, iliyochezwa huko White Hart Lane ikiwa ni Dabi ya Jiji London

Kaskazini.Magoli ya Tottenham katika mchezo huo yamefungwa na wachezaji Dele Alli pamoja na Harry Kane, kwa ushindi huo Hotspurs wamepaa hadi nafasi ya Pili wakiwa na alama 4 nyuma ya Vinara Chelsea, na kwa kichapo hicho Arsenal sasa wanashika nafasi ya 6 wakiwa nyuma ya Mananchester United ambao wao wamecheza dhidi ya Swansea city ambapo Manchester United walitoshana nguvu kufuatia sare ya kufungana bao 1-1.

Nao Midllesbra walitoshana nguvu na Manchester City kwa kufungana mabao 2-2.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.