Advert

Breaking News

Video: P Square – No Body Ugly

Kundi linaloundwa na mapacha wawili Psquare wenye makazi yao nchizi Nigeria, wanaofanya vizuri na kibao chao cha 'Bank ALert', wamekuletea burudani nyingine kutoka kwao ukiwa kama shabiki nguli wa kundi hilo.

Bongoswaggz inakusogezea video mpya ya Psquare inayokwenda kwa jina la No 'Body Ugly' Tazama video hapa alafu tuachie Comment yako.

Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.