Advert

Breaking News

Video: Harmonize ft Rich Mavoko - Show me

Usiku wa kuamkia leo uongozi kutoka wcb unaomsimamia Harmonize unatupa ruhusa ya kuinjoy video mpya ya Harmonize aliyopewa jina la 'Show me'

Bongoswaggz inakudropishia ngoma hiyo aliyoshirikishwa Rich Mavoko. Karibu uinjoi.


Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.