Advert

Breaking News

Video: Fuse ODG Ft. Tiwa Savage - Diary

Vichwa viwili kutoka pande za Nigeria hapa namzungumzia Fuse Odg msanii aliyewahi ku hit na ngoma ya anthena leo amemkaribisha malikia wa Nigeria mwanadada Tiwa Savage anaesimamiwa na kundi la Manvis rec na kuja na hii ya 'Diary'

Bongoswaggz inakusogezea Video hiyo ya fuse aliyomshirikisha Tiwa savage na kuipa jina la Diary. Enjoy

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.