Advert

Breaking News

Video: Bill Nass ft Young Killer & Stamaina -Aje Mwenyewe

Baada ya kuachia audio ya 'Aje Mwenyewe' hii ni video yake, ngoma flani hivi ambayo tunafanikiwa kuwaona wakali wa tatu wanaofanya vizuri katika mziki wahapa bongo.

Bongoswaggz inakudropishia video mpya ya Billnass aliyomshirikisha Young killer na Stamina. Enjoy nayo

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.