Advert

Breaking News

Saa 61 za kutoweka kwa Roma na wenzake

Ripoti zinaeleza kuwa Roma pamoja na wenzake watatu walitekwa a watu wasiojulikana siku ya tarehe 5 saa 3 usiku na kuwekwa mahala pasipoulikana hadi  kufikia leo kuonekana bila kujua alikuwa wapi na kwanini walitekwa.
maswali yasiyipata majibu hadi muda huu juu ya kyutekwa kwa wasanii hao ni kwamba walikuwa wapi? Polisi walifikaje bado hawajatoa ufafanuzi? ni kwanini Roma na wenzake walitekwa ndani ya masaa hayo walikuwa wapo katika hali gani
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.