Advert

Breaking News

Ridhiwan ameposti hii picha na kuandika ujumbe huu kuhusu Roma

"Tabia hizi zinazoanza chipukia katika nchi vinapaswa kukemewa kabla havijamea na kuzaa matunda. Mungu amsaidie kijana Roma na Moni huko waliko.#bringbackourRoma #bringbackourMoni #bringbackourmusic"
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.