Advert

Breaking News

Real Madrid yaipiga Sporting Gijon 3 - 2

Isco akishangilia na Marcelo baada ya kuifungia Real Madrid bao la ushindi dakika ya 90 ikiilaza 3-2 Sporting Gijon katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon. Isco pia alifunga bao la kwanza dakika ya 17 wakati bao lingine la Real lilifungwa na Alvaro Morata dakika ya 59 wakati mabao ya Gijon yamefungwa na Duje Cop dakika ya 14 na Mikel Vesga dakika ya 50
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.