Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Pogba kuikosa manchester city kesho

Habari mbaya kwa mashabiki wa Manchester United kwa kuwa kiungo wao, Paul Pogba ataikosa mechi ya wapinzani wao wakubwa Manchester City, kesho.

Kocha Mkuu wa Man United, Jose Mourinho amethibitisha kwamba mambo si mazuri.

Mourinho amesema imeshindikana kwa Pogba kupona haraka maumivu ya nyama za nyuma za paja alizoumia.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.