Advert

Breaking News

Klabu ya van Persie yamtaka Samatta

Fenerbehce ya Uturuki imeonyesha nia ya kutaka kumsajili mshambulizi Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji ambako amekuwa aking'ara.

Kwa sasa, mkongwe Robon van Persie ndiye kiongozi wa ushambulizi katika timu hiyo ya pili kwa ukubwa nchini Uturuki baada ya Galatasaray.

Lakini  Fenerbehce  inaonekana imeamua kujiimarisha na sasa inasaka mshambulizi kijana na hatari, Samatta anatupiwa jicho.


Wengine ambao wanapewa nafasi ya kusajiliwa na Fenerbehce  ni Thomas Bruns, Theo Bongoda na Ridgeciano Haps
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.