Advert

Breaking News

Jahazi Morden Taarabu kuiteka DarLive siku ya Jumamosi wakiongozwa na Amigo.

Kundi la muziki wa taarabu linalosimamiwa na mke wa mzee Yusufu.kundi hilo ambalo kwasasa linasimama pekeake bila ya Mzee Yusufu limejipanga kuiteka ukumbi wa burudan wa DarLive mnamo jumamosi ya tarehe 29 mwezi huu.

Bongoswaggz inakuhakikishia kuwa kundi hilo la taarabu limejipanga vyema na kujiandaa kwaajili yabkutoa burudani hiyo nono .ikiwa ni maandalizi ya kujipumzisha na mwezi mtukufu wa ramadhan.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.