Advert

Breaking News

IdrisSultan Ampa ujumbe huu Diamond Platnumz kwa hatu hii aliyoipiga

Mshindi wa Big Brother na presenter wa Choise Fm pia mchekeshaji wa hapa bongo Idris Sultan, ameizungumzia brand mpya ya Dimond Platnumz aliyoitambulisha jana pugu hall.

Mchekeshaji huyo ameutumia vyema ukurasa wake wa instagram kwa kumpa ujumbe huu Naseeb abdul a.k.a Diamond Platnumz. Bongoswaggz inakuspgezea post hiyoiliyoandikwa na Idris Sultan.

Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.