Advert

Breaking News

Hii ndio ratiba ya mechi za robo fainali za Uefa wiki hii

Leo hatua ya robo fainali ya michuano ya UEFA Champion League inaanza kutimua vumbi katika viwanja viwili barani humo.

Juventus itakuwa nyumbani kuwakaribisha Barcelona haya ni marudio ya mchezo wa fainali ya mwaka 2015, ambapo Barca waliibuka washindi.

Na mchezo mwingine utakuwa ni kati ya Dortmund ambao watakuwa nyumbani kuwa karibisha Monaco.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.