Bao la Ronaldo lakataliwa, mtu achinjwa 3-0 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bao la Ronaldo lakataliwa, mtu achinjwa 3-0


Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 3-0 dhidinya Alaves kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine yamefungwa na Isco dakika ya 85 na Nacho dakika ya 88, wakati Cristiano Ronaldo naye alifunga dakika ya 54, lakini bao likakatalkiwa 
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.