Advert

Breaking News

Audio: Pink - Una Feel Aje

Kutoka kwa Nahreel mwanadada anaejumuika na kikundi cha Dadahood hapa namzungumzia Pink. rapper ambae anafanya vizuri katika tasnia ya bongo amekuja na hii kitu ya 'Una feel Aje'


Bongoswaggz imeshaipa mamlaka simu yako kuwa tayari kuipakua ngoma ya Pink aliyoipa jina la 'Una Feel Aje' enjoy nayo
https://my.notjustok.com/track/download/id/208684Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.