Advert

Breaking News

Audio: Nisher - Sio Mbaya

Muongozaji wa video hapa bongo Nisher ambae tulimzowea kumuona nyuma ya kioo hii ni nafasi nyingine kwayeye kutuonyesha uwezo wake wa kuimba baada ya kutukimbiza vilivyo siku za nyuma.

Bongoswaggz inakurudisha kwa Nisher uweze kuipakuwa ngoma yake aliyoipa jina la 'Sio Mbaya'. kuwa wa kwanza kuidownload.
https://my.notjustok.com/track/download/id/208677

Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.