Advert

Breaking News

Audio: Aslay Angekuona

Acha na ngoma ya 'Kidawa' ambayo imebamba kinomanoma hii ni nyingine kali kutoka kwa kijana wa dhahabu kutoka kundi la Yamoto Band. Hapa namzungumzia Aslay ambae kwasasa ameamua kusimamia mguu mmoja katika game hili la muziki.

Bongoswaggz inakupa nafasi ya kuisikiliza ngoma hiyo iliyopewa jina la 'Angekuona' ikiwa ni ngoma ya tatu kuifanya akiwa nje ya kundi lake la YamotoBand.Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.