Advert

Breaking News

Audio: Abdu Kiba - Kizungu Mkuti

Bongoswaggz ndio sehemu pekee ambayo itakupa nafasi ya kupakua ngoma mpya kutoka kwa Abdukiba anafanya kazi chini ya KibaMusic inayowasimamia wasanii kadhaa hapa bongo.

Abdukiba anakukaribisha kwenye hii ya 'Kizungumkuti' ikiwa ni ngoma yake ya kwanza kwa mwaka huu 2017. Enjoy
https://my.notjustok.com/track/205235/abdukiba-kizungu-mkuti

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.