Advert

Breaking News

Aeshi asema yeye ni mmoja wa wabunge waliotishwa

Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeshi Hillaly 

Dodoma. Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeshi Hillaly amesema yeye ni mmojawapo wa wabunge waliotishwa na Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

Amesema hayo leo wakati akichangia hotuba ya bajeti waziri mkuu na taasisi zake kwa mwaka 2017/18.                      

Amesema yuko  tayari kutoa ushahidi ukihitajika na kwamba anaogopa kwenda mkoa huo hivi sasa ingawa anapatamani.      
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.