Advert

Breaking News

Video: Jambo Squad - Mamiloo

Kitu pekee wanachoweza kujivunia mashabiki wa kundi la Jambo Squad yenye makazi yake huko Arusha ni kuinjoy kwa ngoma kali inayokuwa inaaachiwa na kundi hilo kila mwaka.

Bongoswaggz inakupa nafasi ya kuitazama video mpya ya jambo Sqaud iliyopewa jina la Mamioo. Enjoy
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.