Advert

Breaking News

Soudy Brown wa Shilawadu ajitokeza kwa mara ya kwanza baada ya likizo Atoa ujumbe huu

MTANGAZAJI na mwanachama wa Shirika la Wambeya Duniani ‘Shilawadu’, Soudy Brown leo ameweka picha ya kwanza mtandaoni baada ya kutoka likizo iliyosababishwa na sekeseke la kuvamiwa kwa kituo chao cha kurushia matangazo, Clouds Televisheni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Jamaa huyo ameweka picha ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Utamaduni, Nape Nnauye na haijafahamika ni kwanini ameweka picha hiyo.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.