Advert

Breaking News

Lissu Ashinda Urais wa TLS kwa Kishindo...!!!

Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu Mapema Hii Leo ameweza kuibuka na ushindi wa kishindo cha Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kwa Kujizolea Asilimia 88 ya Kura Zote.

Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.