Advert

Breaking News

Audio: OMG ft Barakah The Prince – Uongo Na Umbea

Hii sio ile ya shilawadu, vijana flani wenye floo za kipekee ambao wanafanya vizuri kwasasa katika tasnia ya mziki wa bongo fleva, unaweza waita OMG vijana waliohit na ngoma ya niki pata gari.
Bongoswaggz inakukaribisha kuipakua nyimbo ya wakalihao waliomshirikisha Baraka The Prince na kuibatiza jina la 'Uongo na Umbea' karibu kumsikia baraka akiitendea miujiza ngoma hii.
https://my.notjustok.com/track/200044/omg-ft-barakah-the-prince-uongo-na-umbeamp3

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.