Advert

Breaking News

Audio: Nuh Mziwanda - Anameremeta

LastBorn Rec. ni studio inayosimamiwa na msanii wa bongo Nuh Mziwanda, na tayari studio hiyo imeanza kutema cheche zake katika tasnia hiyo ya muziki hapa bongo baada ya kudropisha 'Anameremeta'
Bongoswaggz inakukaribisha kuusikiliza mkono wa Nuh mziwanda katika ngoma hiyo aliyojitengenezea kwa mikono yake na kuisogeza kwako na kuipa jina la 'Anameremeta'.

https://my.notjustok.com/track/199568/nuh-mziwanda-anameremeta

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.