Advert

Breaking News

Audio: Barnaba - Lonely

High Table Sound inayoongozwa na Barnaba, msanii anaejua kuitumia vyema sauti yake, leo anatuletea ngoma yenye maneno makali ya kimapenzi na ujumbe mzito kwa mtu aliyetendwa.
Bongoswaggz inakukaribisha kuipakua ngoma hiyo iliyopikwa vyema na producer mahiri Tuddthomas na kuipa jina la lonely. Enjoy nayo.
https://my.notjustok.com/track/199657/barnaba-lonely

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.