Advert

Breaking News

Video: Eric Omondi Alivyoigiza Filamu ya ‘Adam and Eva’

Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya, Eric Omondi amekuwa na utaratibu wa kufanya parody ya nyimbo mbalimbali ambazo zifanya vizuri pamoja na filamu ambazo zimewahi kufanywa zamani. Baada ya kuachia filamu yake fupi aliyoigiza kutoka kwenye ‘God Must Be Crazy’ sasa amekuja na filamu ya ‘Adam na Eva’ yenye urefu wa dakika 15 na sekunde 10. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.