Advert

Breaking News

Video: Bonge la Nyau - Tusiachane

Ladha yake ni tofauti sana na muonekano wake katika tasnia ya muziki na ndio kitu peke kinachombakisha katika bakuli la muziki wa bongo. Unaweza kumwita Bonge la Nyau mtoto wa kariakoo
Bongoswagzz imeinyaka hii video yake ya Tusiachane na Kukudropishia kwako. Enjoy nayo.

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.