Advert

Breaking News

Rihanna Ampa Pongezi Beyonce Kwa Ujauzito wa Mapacha.

Baada Mrembo Beyonce usiku wa jana kutangaza kuwa mjamzito tena wa Mapacha wawili mastaa kibao walifurahishwa na habari hiyo kwa kutoa pongezi akiwemo Rihanna.

Rihanna alitumia mtandao wa Instagram kumpongeza Diva huyo kwa kuandika “so excited about this news!!!! Congratulations to you @Beyonce and my big brother Jay!!!! 
A photo posted by badgalriri (@badgalriri) on
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.